Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi Moshi amelalamikia ujenzi wa viwango vya chini barabara Moshi Vijijini. Aidha ameomba jimbo lake litendewe haki kwa kuongezewa fedha za tozo kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Ametoa ombi hilo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) bungeni Dodoma Aprili 17,2023.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ndakidemi akichangia mjadala huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203
Post a Comment