Mbunge wa Rorya, Jaffari Chege amepongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kwa kuwapelekea fedha nyingi majimboni kwa ajili ya miradi ya maendeleo, hivyo kuataka wabunge kusimamia ipasavyo miradi hiyo ili iendane na thamani ya fedha hizo. Pia amelalamikia ubadhirifu mkubwa wa fedha hizo bila wahusika kuchukuliwa hatua za kisheria.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chege akitoa pongezi kwa Rais na kuelezea ubadhirifu huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
Post a Comment