Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Tulia Ackson ameitaka EATV kuweka usahihi wa kilichomsibu Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Alice Kaijage ambaye jina lake liliwekwa kwenye mchango uliotolewa na mbunge mwingine, Jane Jerry hivyo kumsababishia usumbufu katika jamii.
Dkt. Tulia ameyasema hayo bungeni Dodoma Aprili 20, 2023 wakati wa kipindi cha matangazo.
Spika Dkt. Tulia
Mbunge Dkt Kaijage.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Spika Tulia akitoa taarifa hiyo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment