Featured

    Featured Posts

JENERALI MKUNDA AONGOZA JESHI KUSIKILIZA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda (wa pili kushoto) akiwa na  Mnadhimu Mkuu, Luteni Jenerali Salum Haji Othman Tawila (wa pili kulia), Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt Faraji Mnyepe na Mkuu wa Tawi la Huduma Za Tiba Jeshini, Meja Jenerali Amri Mwami wakati wa Bajet ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa bungeni Dodoma Mei 24, 2023.

Baadhi ya maafisa wa jeshi hilo







Baadhi ya maafisa wa Jeshi wakiingia ukumbi wa Bunge


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA



















 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana