Featured

    Featured Posts

MWANYIKA AHOJI NI LINI KITUO CHA POLISI NJOMBE KITAJENGWA?+video


Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amehoji bungeni Dodoma Aprili 8, 2023, kuhusu ujenzi wa Kituo cha Pilisi Njombe Mjini ambacho kwa hivi sasa kimechakaa.

Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu na kujibiwa na Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini.

 Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa kilio chake hicho...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana