Featured

    Featured Posts

MWANYIKA: UMWAGILIAJI PEKEE UTAOKOA ZAO LA CHAI NJOMBE+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameiomba serikali kuwajengea miundombinu ya umwagiliaji kwenye mashamba ya chai Njombe ili uzalishaji uongezeke. Pamoja na mambo mengine ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Kilimo bungeni Dodoma Mei 9, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Mwanyika akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana