Featured

    Featured Posts

KASAKA: WAKULIMA WA TUMBAKU WAPATE RUZUKU+video


 Mbunge wa Lupa, Chunya, Masache Kasaka pamoja na mambo mengine ameiomba serikali kuwapatia ruzuku wakulima wa tumbaku kama inafanya kwa mazao mengine. Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo bungeni Dodoma Mei 9, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Kasaka akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana