Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA AENDA NYUMBANI KWA MZEE MALECELA KUMFARIJI KUFUATIA KIFO CHA MWANAE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha Maombolezo alipofika kumpa pole Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, jana Mei 22, 2023, kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpa pole Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, jana Mei 22, 2023, alipofika kumfariji kufuatia kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni. Kushoto ni Mama Malecela.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpa pole Waziri Mkuu mstaafu Mzee John Samwel Malecela, mtaa wa Kilimani Mkoani Dodoma, jana Mei 22, 2023, alipofika kumfariji kufuatia kufuatia kifo cha mtoto wake Marehemu William Malecela (Lemutuz) kilichotokea hivi karibuni. Kulia ni Mama Malecela.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana