Featured

    Featured Posts

MWANYIKA USO KWA USO NA JENERALI MSTAAFU WAITARA

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika (kulia) akisalimiana na Mkuu wa Majeshi mstaafu  na Mwenyekiti wa Bodi ya  Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), Jenerali mstaafu Mwita Waitara katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Juni 5, 2023. Katikati ni Kamishna Mkuu waTANAPA, William Mwakilema. Waitara na Mwakilema wamehudhuria mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii. 

Mwanyika akisalimiana na Kamishna Mkuu waTANAPA, William Mwakilema

Mwanyika akijadiliana jambo na viongozi hao.

 Mwanyika akijadiliana jambo na Mtendaji Mkuu Wakala Huduma za Misitu Tanzania (TFS) - Prof. Dos santos Silayo

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana