Featured

    Featured Posts

NAPE: WANAOMBEZA RAIS SAMIA TUTASHUGHULIKA NAO +video


 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewakanya na kuwashushua wapinzani wanaomsema vibaya na kumbeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokuwa akichangia mjadala juu ya Bunge kuhusu pandekezo la kuridhiwa mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuanzisha ushirikiano wa uendeshaji wa Bandari ya Dar es Salaam.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana