Featured

    Featured Posts

ZAIDI 500 WAJIUNGA CCM KONDOA

 Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Kinana aliwapokea waliokuwa wanachama wa vyama vya upinzania na wasio wanachama wa chama chochote waliojiunga na CCM katika mkutano wa hadhara mjini Kondoa.


Zaidi ya 500 walijiunga na CCM katika mkutano hyuo uliofanyika Juni 19, 2023.

Katika ziara hiyo yenye lengo la kakagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya nwaka 2020-2925, kuhamasisha uhai wa chama kuanzia ngazi ya Shina na kusikiliza kero za Wananchi pamoja na  kuzitafutia ufumbuzi, ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Issa Haji Gavu.






 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana