Featured

    Featured Posts

ZIARA YA KOMREDI CHONGOLO KURINDIMA MKOA WA DODOMA

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo
Katibu wa NEC - Organaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu)

Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Daniel Chongolo atafanya Ziara ya Kuimarisha Chama, Ukaguzi wa Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 - 2025 na Usikilizaji na Utatuzi wa Kero za Wananchi katika Mkoa wa Dodoma kuanzia mnamo tarehe 15 Juni 2023 hadi tarehe 25 Juni 2023.


Komredi  Chongolo ataongozana na wajumbe wawili wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, Katibu wa NEC - Organaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) na Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema.


Nyote Mnakaribishwa.


#CCMImara

#KaziIendelee

TunaImaniNaSamia

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana