Featured

    Featured Posts

KILIMANJARO WAUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS UWEKEZAJI WA BANDARI+video

 






Baadhi ya wananchi na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Kilimanjaro wameunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambapo Kampuni ya DP World ya Dubai itashirikiana na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jambo ambalo litaongeza mapato kutoka sh. trilioni 7 hadi trilioni 26 kwa mwaka.

Maoni hayo yametolewa leo Julai 20, mjini Moshi, Kilimanjaro.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, maoni hayo yakitolewa....
 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
 KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana