Featured

    Featured Posts

MWENEZI MJEMA AWAPONGEZA TSN

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Ndg. Sophia Mjema amewapongeza wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), kwa kuondelea kuuhabarisha umma kuhusiana na masuala mbalimbali nchini.


Ametoa pongezi hizo leo Julai 20, 2023 katika ofisi za TSN akiwa katika ziara ya kuvitembelea vyombo vya habari aliyoianza mapema wiki hii.


Ndg. Mjema alisisitiza weledi katika taaluma ya uandishi wa habari pamoja na uzalendo kwa maslahi mapana ya Taifa.


Aliwasisitiza waandishi wa habari kuwa wazalendo, pia wana jukumu kubwa la kulinda tunu za Taifa ikiwa ni pamoja na amani.










author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana