Featured

    Featured Posts

SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA MASPIKA WA CPA NCHINI CAMEROON, LEO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao wakati wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Yaounde Jijini Yaounde Nchini Cameroon, leo..

 Kikao hicho ambacho kinauadili athari za mabadiliko ya tabia nchi duniani kimefanyika leo tarehe 19 Julai, 2023. Katika Mkutano huo Mhe. Dkt. Tulia ameambatana na Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu pamoja na Katibu wa Bunge Bi. Nenelwa Mwihambi ndc
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiongoza kikao wakati wa Mkutano wa 18 wa Maspika na Viongozi wa Bunge wa Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CSPOC) uliofanyika Katika Ukumbi wa Mikutano wa Yaounde Jijini Yaounde Nchini Cameroon, leo..
 
Kikao hicho ambacho kinajadili athari za mabadiliko ya tabia nchi duniani kimefanyika leo tarehe 19 Julai, 2023. Katika Mkutano huo Mhe. Dkt. Tulia ameambatana na Mbunge wa Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu pamoja na Katibu wa Bunge Bi. Nenelwa Mwihambi ndcakiongoza leo katika.

Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho.
Baadhi ya Wajumbe waakiwa kwenye Kikao hicho.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana