Featured

    Featured Posts

GAVU AWAPONDA WAPINZANIA WENYE NDIMI MBILI ZA UNAFIKI+video

Katibu wa NEC Organizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu amewataka wananchi kuwapuuza wapinzani wenye ndimi mbili zisizo na kauli ya kweli wala dhabiti kwa vile hawaongei kilichopo moyoni bali kutoka kwenye ulimi, hivyo amewaomba kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yenye lengo dhabiti la kuwaletea maendeleo. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM wa kuelimisha wananchi kuhusu usahihi wa uwekezaji wa Bandari ya Dcar es Salaam kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Julai 30, 2023 ulioongozwa na Katibu Mkuu wa chama hicho Daniel Chongolo.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana