Featured

    Featured Posts

MHAGAMA MMILIKI WA SHULE ATIMIZA TAKWA LA KUPANDA MITI 500 KABLA YA KUANZA UJENZI

Wanafunzi wakishiriki kupanda miti 500 katika uwanja ambapo panatarajiwa kujengwa shule ya Micah Pre & Primary  eneo la Ipagala North  jijini Dodoma Septemba 9, 2023.

Michael Mhagama mkurugenzi wa shule hiyo akishiriki kupanda miti kutimiza takwa  la serikali la kuanza kupanda miti kabla ya kuanza ujenzi.
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo,Pius Barra akipanda miti
Eneo la shule hiyo panapotarajiwa kupanda miti 500


Mkurugenzi wa Taasisi ya Mazingira ya Habari Consevation Bernard  Mwanawile akiongoza kupanda miti katika eneo hilo
Wanafunzi wakishiriki kupanda miti


Baadhi ya miti itakayopandwa

Bernard akiwa na baadhi ya wanafunzi walioshiriki kupanda miti.

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya videov kujua yaliyojiri wakati wa upandaji miti hiyo...


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana