Featured

    Featured Posts

RWEIKIZA AWASILISHA BUNGENI UCHAMBUZI WA SHERIA NDOGO+video

     


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Jasson Rweikiza akiwasilisha bungeni Dodoma Septemba 5, 2023, uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni kwenye mkutano wa kumi na mkutano wa kumi na moja  pamoja na uchambuzi wa taarifa za utekelezaji wa maazimio ya bunge  kuhusu sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni  kwenye mkutano wa nane na mkutano wa tisa. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana