Featured

    Featured Posts

SERIKALI YAMWAHIDI MAKUBWA MBUNGE NGASSA KUPELEKA MAJI IGUNGA+video



Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa, amebana serikali bungeni  Septemba 5, 2023 kupeleka maji ya Ziwa Viktoria katika  vijiji na vitongoji vya Kata za  nguvumoja, Lugubu na Itumba.

Serikali kupitia Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi  imeahidi kutekeleza mradi huo


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana