Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA NA RAIS WA CAF IKULU JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiendelea kuzungumza na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Bendera (Pennant) ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu kutoka kwa Rais wa Shirikisho hilo Dkt. Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa ameshika zawadi yake ya Bendera (Pennant) ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kama kumbukumbu mara baada ya kupewa na Rais wa Shirikisho hilo Dkt. Patrice Motsepe Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dkt. Patrice Motsepe, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro watatu kutoka (kulia), Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma wa pili kutoka kulia, Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria Mhe. Jaji George Masaju wa kwanza (kulia), Rais wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia wa pili kutoka kushoto pamoja na Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo (BMT) Neema Msitha wa kwanza (kushoto) mara baada ya mazungumzo Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Oktoba, 2023.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana