Featured

    Featured Posts

DKT BITEKO AWAPA NENO EWURA

 

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),Dkt. James Andilile (kushoto)   pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa, Rugemalira Rutatinwa Nyungwa (kulia) wakiimba wimbo wa mshikamano leo Novemba 8,2023 wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa  linalofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

Ameipongza EWURA) kwa kupitia upya gharama za uagizaji wa mafuta nchini kuwa zimekuwa rafiki kwa Taifa.



Aidha, Naibu Waziri Mkuu, Dkt Biteko ameipongeza pia  EWURA kwa kuwa na utaratibu mzuri wa vikao vya Baraza

Wafanyakazi ambao ni wajumbe wa baraza hilo  wakiimba wimbo huo wa mshikamano.

NAIBU  Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko,akieleza jambo kwa washiriki  wakati akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) linalofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA).Dkt. James Andilile,akizungumza wakati wa  kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa EWURA linalofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma.






Dkt Biteko akipongenzwa na Mkurugenzi wa EWURA, Andilile baada ya kufungua kikao hicho cha baraza.

Baadhi wa wajumbe wa baraza hilo




Dkt. Biteko akiondoka huku akisindikizwa na Mkurugenzi wa EWURA, Andilile baada ya kufungua kikao cha baraza hilo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

IMEAMDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana