Featured

    Featured Posts

SALAMU YA YANGA YA 5G YA YANGA YASHAMIRI BUNGENI

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akimsalimia kwa mtindo wa 5G wa Yanga, Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu walipokuwa wakijadiliana jambo bungeni Dodoma Novemba 6, 2023. Nchemba ni mpenzi mkubwa wa Yanga na Zungu ni mnazi wa Simba. Katika Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC wa watani wa jadi, Yanga iliibugiza Simba mabao 5-1 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa Dar Es Salaam Novemba 5, 2023. 
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tabora, Jacqueline Kainja akisalimia kwa mtindo wa 5G kwenye viwanja vya Bunge alipokuwa akiingia bungeni Dodoma.
Mbunge wa Viti Maalumu, Khadija Taya 'Keisha'
Mbunge wa Makete, Feston Sanga
Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Lugangira
Mbunge wa Lupa, Chunya, Masache Kasaka

 Waziri wa Madini, Anthony Mavunde


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana