Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi akiongoza kukata keki maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya hafla ya chakula cha usiku kwa watumishi wa ofisi hiyo kwa ajili ya kuuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024 kwenye Ukumbi wa New Generation jijini Dodoma Desemba 19, 2023. Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt Boniface Luhende alialikwa katika hafla hiyo.
Watumishi wakifungua mvinyoSasa ni wakati wa kusakata muziki.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniface Luhende akitoa neno wakati wa tafrija hiyo.
0754264203
Post a Comment