Featured

    Featured Posts

KINANA AMFURAHISHA DKT BITEKO WALIPOTETA SIKU YA UHURU, DIRA YA TAIFA 2050

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM), Komredi Abdulrahman Kinana (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakati wa maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika Bara na uzinduzi wa ukusanyaji wa maoni ya maandalizi ya Dira ya Taifa ya 2050 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Desemba 9, 2023.


 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana