Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, akikabidhiwa na Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu mfano wa Hundi ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya kusaidia Maafa ya maporomoko ya udongo yaliyotokea katika Mji mdogo wa Katesh, Hanang Mkoani Manyara hivi karibuni. Fedha hizo ni michango iliyotolewa na Taasisi mbalimbali za Serikali na Makabidhiano yamefanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, leoDisemba 10, 2023. (Picha na Ikulu).
Rais Dk.Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dk. Phillip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali, baada ya kupokea Sh. Bilioni 2 za michango kutoka Taasisi mbalimbali kwa ajili ya Maafa ya maporomoko ya udongo yaliyotokea Katesh, Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 10 Desemba, 2023.


Post a Comment