Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Deus Sangu akielezea mafanikio ya ukusanyaji wa maoni ya wadau kuhusu Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma katika vikao vilivyofanyika bungeni Dodoma wiki hii.
Hapa Sangu anaabainisha kuwa endapo marekebisho haya yataridhiwa na Bunge itenda kufutwa Ofisi ya Msajili wa Hazina na kuanzishwa Mamlaka ya Uwekezaji wa Umma na Mfuko wa Uwekezaji.
Wadau wamesisitiza kuwa marekebisho hayo yajikite pia kuanzisha chombo huru, chenye nguvu na meno ya utosha kuyadhibiti mashirika ya umma ama sivyo watakuwa wamepoteza muda na mambo yatabaki pale pale kama ilivyokuwa awali.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment