Featured

    Featured Posts

ZAIDI YA WADAU 1700 WALIJITOKEZA KUTOA MAONI MISWADA YA UCHAGUZI WA RAIS, TUME YA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt.Joseph Mhagama akielezeea mafanikio ya mchakato wa ukusanyaji wa maoni kutoka kwa wadau kuhusu Miswada ya marekebisho ya sheria  ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, vyama vya siasa na sheria mbalimbali kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa jijini Dodoma Januari 10, 2024

Hapa Dkt Mhagama ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Madaba, Ruvuma akielezea hatua itakayofuata ya kuchakata maoni hayo ili tayari kupelekwa katika mkutano wa Bunge lijalo kwa ajili ya kujadiliwa na wabunge na hatimaye kupelekwa kusainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ili kuwa sheria kamili.
Askofu Peter Konki wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania akiwasilisha maoni ya kanisa hilo
Mwakilishi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Juda Ruwa'ichi akiwasilisha maoni ya baraz hilo. .

Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kiislamu, Sheikh Mussa Kundecha


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT),  Mary Chatanda akiwasilisha maoni na ushauri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria cha kukusanya maoni kuhusu Miswada ya marekebisho ya sheria  ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sheria mbalimbali kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa jijini Dodoma


Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Joseph Selasini akiwalisha maoni.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Ananilea Nkya akitoa maoni ambapo pamoja na mambo mengine kwamba iwepo sheria ya vyombo vya habari kuwatendea haki wagombea wote kwa kuripoti habai zao bia upendeleo.
Mjumbe wa Kamati hiyo, Seleman Zedi
Mjumbe wa Kamati, Dkt John Pallangyo

Wajumbe wa Kamati hiyo.



Baadhi ya wadau




 Dkt Mhagama akijadiliana jambo na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Florent Kyombo
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana