Featured

    Featured Posts

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) JIJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Dkt. Maulid Banyani alipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Katikati ni Meneja Masoko na Utafiti Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Itandula kambalagi
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dkt. Maulid Banyani (wa pili kulia) walipomtembelea leo tarehe 31 Januari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana