Basi la kampuni ya Abood linalofanya safari zake Mwanza-Dar limepata ajali asubuhi eneo la Mkolani Jijini Mwanza njiani likielekea Dar.
Inadaiwa kwamba chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki aliyekatiza barabara ghafla na kusababisha dereva wa basi kukosa mwelekeo.
Post a Comment