Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu asherehekea kumbukizi ya kuzaliwa kwake Novemba 1, 2019 ambapo tarehe kama ya leo Mama wa Abbas Mtemvu alimzaa na anatarajia jioni ya leo kukata Keki katika kituo cha kulelea watoto yatima na kutoa misaada ya aina mbalimbali.
Post a Comment