Featured

    Featured Posts

NMB YAMWAGA MSAADA WA MADAWATI KATIKA SHULE NNE NCHINI

 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha - Mrisho Gambo(kushoto) akisalimiana na mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mrisho Gambo ya jijini Arusha wakati wa hafla iliyofanyika hivi karibuni ya kukabidhiwa meza na viti vyenye thamani ya sh. mil.10 vilivyotolewa na benki ya NMB . Katikati ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini, Aikansia Muro.
 Wanafunzi wa shule ya Sekondari Kihaka wilayani Kilolo - Iringa wakiwa wamebeba stuli za maabara muda mfupi baada ya kukabidhiwa na benki ya NMB.Benki ya NMB ilikabidhi meza na stuli 60 vyote vikiwa na thamani ya shilingi Milioni 10.
 Wanafunzi wa shule ya Msingi Maduma iliyoko Kata ya Maduma Wilayani Mufindi wakishangilia madawati waliyokabidhiwa na benki ya NMB shuleni kwao.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Simon Chacha akiwa ameketi na wanafunzi  wa shule ya msingi Minigo mwanzoni mwa wiki katika moja ya madawati yaliyotolewa na benki ya NMB  ili kusadia kupunguza uhaba wa madawati shule hapo. Wengine ni Kaimu Meneja wa Kanda ya Ziwa (Mwenye koti na Tai Nyeusi), Amos Mubusi.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana