RAIS DK. MAGUFULI AZINDUA HOTEL VERDE - AZAM LUXURY RESORT AND SPA ILIYOPO MTONI ZANZIBAR, LEO
Rais Dk. John Magufuli akigagua chumba kimoja katika Hotel Verde - Azam Luxury and Spa iliyopo Mtoni Zanzibar, wakati wa uzinduzi wa hoteli hiyo leo, Januari 11, 2020 ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zitakazofikia kilele chake kesho, Jumapili, Januari 12, 2020, Visiwani Zanzibar. Wengine katika picha ni, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Mwenyekiti wa Kampuni ya Bakhresa Group Said Salim Bakhresa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Bakhresa Salim Aziz. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Post a Comment