Featured

    Featured Posts

WIZARA YA AFYA YAKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII

   Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) akitoa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
    Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Salma Kikwete (wa pili kulia) akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
   Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Joseph Mbilinyi (wa kwanza kushoto) akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupokea taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara (Fungu 52) kwa kipindi cha nusu mwaka 2019/2020 hii leo Jijini Dodoma. (PICHA ZOTE NA OFISI YA BUNGE)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana