Featured

    Featured Posts

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA HARAMBEE YA CCM MKOA WA PWANI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mlezi  wa CCM Mkoa wa Dar es salaam na Pwani ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi,  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Mkoa wa Pwani  kwenye Harambee ya Ujenzi wa Jengo la Ofisi na Ukumbi la Kitega Uchumi wa CCM Mkoa wa Pwani iliyofanyika leo March 14,2020 katika Ukumbi wa Chuo cha Uuguzi Kibaha Mjini. Jumla ya shilingi Milioni   zimechangishwa kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi huo. PICHA NYINGI ZA TUKIO HILO>>BOFYA HAPA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana