Mbunge wa Jimbo la Ukonga, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara akikagua sehemu ya barabara Km 3.2 iliyojengwa kwa lami kutoka Kitunda hafi Mwembeni katika Barabara ya Banana hadi Kivule, Jimbo la Ukonga Dar es Salaam. Barabara hiyo inayojengwa na Kampuni ya Nyanza itapunguza adha ya usafiri kwa wakazi wa Kitunda, Kivule na Msongola. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment