Wizara ya Afya Ufaransa imesema Mabaharia 940 kati ya 2300 waliomo kwenye meli ya kubebea ndege za kijeshi ya Ufaransa, Charles de Gaulle, wamekutwa na corona, Meli hiyo imeegeshwa kwenye Bandari ya Toulon
“Kati yao wagonjwa 20 wamelazwa, 8 wanasaidiwa kupumua na mmoja yuko ICU”
Jeshi limeanza uchunguzi ili kupata majibu yatakayowezesha kubaini corona imeingiaje kwenye Meli hiyo.
Hadi takwimu za muda huu Ufaransa ina jumla ya vifo 18,681 vya corona na visa 109,252.
Post a Comment