Wananchi wakishuhudia Askari akipima Ajali eneo la Kagera Jijini Dar es Salaam jana Baada ya Mwendesha Guta kupata ajali jana Mei 9, 2020 iliyohusishwa na Gari lenye Namba za Usajili T 735 DJY.
Wasamaria wema katika eneo la Gegera Jijini Dar es Salaam wakisaidia kutoa Miwa chini ya Gari lenye namba za usajili T 735 DJY Baada ya Dereva wa guta kugongwa eneo hilo nakukimbizwa Hospitali.
Wasamaria wema wakisaidia kutoa Miwa chini ya Gari lenye namba za usajili T 735 DJY Baada ya mwendesha guta eneo la Kagera Jijini Dar es Salaam jana Mei 9, 2020.Kugongwa na Gari hilo na kukimbizwa Hospitali kwa matibabu zaidi
Post a Comment