Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiongoza Wajumbe kusimama kwa dakika moja kufuatia kifo cha Mmoja wa Waasisi wa Chama, na Mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa CCM, kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk John Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally, alipowasili kuongoza kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohames Shein akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally, alipowasili kushiriki kijao hicho.
Dk. Shein akisindikizwa na Dk. Badhiru Ally kwenda ukumbini
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassani akibadilishana mawazo na wajumbe wenzake wa Kamati Kuu walipokuwa ukumbini. Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao hicho
Post a Comment