KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Bashiru Ally Kakurwa, akizungumza na Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar juu ya mwenendo wa uchaguzi ndani ya Chama kelekea uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk, Abdallaah Juma Mabodi
Wazee wa Baraza wakimsikiliza
Post a Comment