Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimtambulisha kwake balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwangalia balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem akiwasilisha kwake hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimwangalia balozi mteule wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem akiwasilisha kwake hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifanya mazungumzo na balozi wa Pakistan nchini Tanzania Mhe. Muhammad Saleem kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Ibuge akimtambulisha balozi mteule wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020

Magufuli akiwa katika mazungumzo na balozi wa Uswisi nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza wakati Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimtambulisha balozi mteule wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia wakati balozi mteule wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar akiwasilisha hati zake za utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David William Cancar, Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi na maafisa wa Ubalozi na wa Ikulu wakifurahia envobaada ya Balozi huyo kukabidhi hati zake za Utambulisho kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2020
Post a Comment