Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MAGUFULI AMPOKEA KWA BASHASHA RAIS WA MALAWI DK. CHAKWERA, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimlaki Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, akiwa na mkewe Mama Monica Chakwera,  alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020
Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waT anzania Dkt John Pombe Magufuli Mama Monica Chakwera, mke wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, akiwa na mkewe Mama Monica Chakwera,  walipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera na mkewe Mama Monica Chakwera,  walipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa wakuu wa vyombo vya ulionzi na usalama Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa wakuu wa vyombo vya ulionzi na usalama Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera
alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020
Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akitoa heshima mbele ya bendera wakati akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia wakati  Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera alipowasalimia Wamalawi wanaoishi nchini waliofika kumpokea mgeni huyo alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam katika hatua ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020

Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Mama Monica Chakwera, akiwa na Mama Monica Chakwera, mke wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, wakipata maelekezo walipotembelea Makumbusho ya Taif ana Jumba la Utamaduni jijini Dar es salaam leo Jumatano Oktoba 7, 2020
Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na Mama Monica Chakwera, akiwa na Mama Monica Chakwera, mke wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, wakipata picha ya kumbukumbu mbele ya fuvu halisi la binadamu wa kale Zaidi duniani maarufu kama “Zinjanthropus Bosei” walipotembelea Makumbusho ya Taifa na Jumba la Utamaduni jijini Dar es salaam leo Jumatano Oktoba 7, 2020

Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Mama Monica Chakwera, akiwa na Mama Monica Chakwera, mke wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, wakipata maelezo toka kwa Mhifad shi Mwandamizi Dkt. Amandus Kweka  juu ya fuvu halisi la binadamu wa kale Zaidi dunianimaarufu kama “Zinjanthropus Bosei” na kumbukumbu zingine za kihistoria walipotembelea Makumbusho ya Taifa na Jumba la Utamaduni jijini Dar es salaam leo Jumatano Oktoba 7, 2020
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana