Featured

    Featured Posts

RAIS DK. SHEIN AWATEMBELEA MAJERUHI WALIOUMIA KATIKA VURUGU ZINAZODAIWA KUFANYWA NA WAFUASI CHAMA CHA ACT-WAZALENDO MICHEWENI, PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji  mmoja wa majeruhi wa matukio ya kupigwa katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba kuwajulia hali zao na kuwafariji  leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji majeruhi wa matukio ya kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba, kuwatembelea majeruhi leo. Anayempatia maelezo ya mgonjwa huyo ni Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dk. Mbwana Shoka Salim
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia picha ya  Xray ya mmoja wa majeruhi wa tukio la kupigwa lililotokea katika maeneo ya Kwake Wilaya ya Micheweni Pemba Abdalla Khamis Mbarouk, alipofika katika hospitali ya Micheweni  leo. Kulia kwa Rais Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dk. Mbwana Shoka Salim
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimfariji mmoja wa Majeruhi wa majeruhi wa  Matukio ya kupigwa lililotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Abdalla Khamis Mbarouk,alipofika leo kuwatembelea na kuwafariji katika Hospitali ya Micheweni Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dk. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo ya mmoja wa majeruhi  ya Wahanga wa Matukio ya kupingwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba, Yassir Hemed Ali, alipofika katika Hospitali ya Micheweni  leo kuwatembelea na kuwafariji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimpa pole mmoja wa Majeruhi wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Yassir Hemed Ali, akiangalia sehemu aliyopata majeruhi alipofika katika Hospitali ya Micheweni kuwajulia hali na kuwafariji leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya mmoja wa Majeruhi wa Matukio ya kupigwa yaliotokea katika Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Khatib Said Khatib aliyepata jeraha katika sehemu ya tumbo, wakati akitowa maelezo Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dk. Mbwana Shoka Salim
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia picha ya Xray  ya mmoja wa Majeruhi wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika Kwale Wilaya ya Micheweni Ndg.Khatib Said Khatib, wakati Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dk. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo kwa Rais alipofika leo kuwatembelea na kuwafariji.(Maelezo/Picha na Ikulu)
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana