Featured

    Featured Posts

SILANGA ALITUMIA MCHANGO BINAFSI WA SH. MILIONI 700, KATIKA MAENDELEO JIMBO LA ITILIMA, HAKIKA ANASTAHILI MITANO TENA

 



*Anasaidia kusomesha zaidi ya watoto 200 wa kaya masikini.

* Amevipiga tafu vikundi vya kina mama, vijana na   wenye ulemavu pamoja na     michezo.

*Mchango wake binafsi umegusa kila sekta Itilima.





Na Richard Mwaikenda

MOJA ya kigezo kikubwa ambacho huwa ni kivutio kwa wananchi kumpa kura za ndiyo, mgombea wa kiti cha Ubunge kama anagombea kwa mara nyingine ni namna alivyoweza kujitolea fedha zake binasi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo na misaada ya kijamii katika jimbo lake mbali na kutegemea jitihada za serikali.

Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Njalu Silanga ni miongoni mwa wagombea ambaye anastahili kupigiwa kura za kishindo ili arejee tena kuwa Mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa katika kipindi chake cha miaka mitano ya Ubunge wake, kuanzia 2015 hadi 2020 aliweza kuonyesha ari ya kuchangia maendeleo jimboni ambapo alitumia fedha zake binafsi zaidi ya Sh. Milioni 700 kusaidia ujenzi wa miradi katika sekta mbalimbali na misaada ya kijamii kwa ujumla.
..........................................................................................................................
MKUU huo ni utangulizi tu wa makala yako ambayo endapo tukikubaliana nitaiendeleza kwa kutaja jinsi mchango wako ulivyosaidia kwa kutaja miradi na mambo mengine mengi uliyoyafanya yaliyomo kwenye Taarifa yako ya Utekelezaji wa Ilani.

Tunakushauri katika kipindi hiki cha lala salama cha kampeni makala yako ichapishwe kwenye moja ya magazeti ilikiwemo la Uhuru kwa gharama tutakayokubaliana halafu ununue kiasi cha nakala za gazeti na kuzisambaza jimboni kwako. Itasaidia sana kuongeza kura zako za rais na madiwani katika jimbo lako.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana