Ni burudani kwa kwenda mbele |
Video: KISWAGA: WAPINZANI HAWAFAI KUCHAGULIWA WALIKIMBIA BUNGENI
Mgombea Ubunge Jimbo la Magu kupitia CCM, Boniventura Kiswaga akimwaga sera nzuri za CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Salama ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura yeye, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli na wagombea udiwani wa chama hicho
Post a Comment