Featured

    Featured Posts

Video & Picha: FELISTER BURA LICHA YA KUKOSA UBUNGE, APAMBANA KWA UDI NA UVUMBA KUZISAKA KURA ZA DK MAGUFULI DODOMA

Mbunge wa iti Maalumu Mkoa wa Dodoma, ambaye aliwania tena kwenye kura za maoni lakini kura hazikutosha, Felister Bura akimwaga sera nzuri za CCM pamoja na mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano alipokuwa akimuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Dk John Magufuli, Mgombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde na Mgombea Udiwani wa Kata ya Ipagala, Gombo Kamuli Dotto  kwenye mkutano wa Kampeni katika Tawi la CCM Mlimwa Kusini Kata ya Ipagala Oktoba 9, 2020.

 Bura akisalimiana na Mgombea Udiwani Kata ya Ipagala, Gombo Kamuli Dotto baada ya kumpigia debe kwa wananchi.

Kwa uhondo zaidi sikiliza kwenye clip hii ya video hapa chini;


IMEANDALIWA NA;
 RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana