Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Meja Mstaafu Risasi akimkabidhi Mgombea Udiwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku kitabu cha Ilani ya CCM ya Uchaguzi 2020-2025. |
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Msalato, Ali Mudende akiahidi mbele ya wananchi kuwa atasaidiana na Diwani Mtarajiwa, Nsubi Bukuku kuwaletea maendeleo wananchi wa kata hiyo.
Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni.Mwenyekiti wa CCM Kata ya Msalato, Lucia akipiga magoti kwa unyenyekevu kuwaombea kura wagombea wa CCM ambao ni Mgombea Urais, Dk. John Magufuli, Mgombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde na Mgombea Udiwani wa Kata ya Msalato, Nsubi Bukuku.
Kwa Uhondo zaidi sikiliza kwenye Video hapo chini.
Imeandalia na:
Richard Mwaikenda
Mhariri Blog ya Taifa ya CCM
0754264203
Post a Comment