Dk.Hussein Ali Haasan Mwinyi akipa kuwa Rais wa awamu ya nane ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar alipoapishwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othuman Makungu katika sherehe za kumuapisha zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, leo.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu akimuapisha Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakati wa sherehe za kiumuapisha zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, leo. Aliyeketi akishuhuia ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein. Matukio mengine yahanyohusu sherehe hiyo tutaweka baadaye. ([Picha na Ikulu.)
Post a Comment