Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fred Lowassa (CCM) akila kiapo cha ubunge huo mbele ya Spia wa Bunge, Job Ndugai wakati wa kuwaapisha wabunge bungeni Dodoma. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Fred Lowassa akiongezwa na Spika Ndugai baada ya kuapishwa.
Fred Lowassa akikabidhia na Katibu wa Bunge, Steven Kigaigai nyaraka muhimu za kibunge.
Fred Lowassaa kiondoka kwenda kukaa baada ya kuapishwa.
Post a Comment