Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB, Dkt. Edwin Mhede (kushoto) wakati wa hafla ya kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge iliyoandaliwa na Benki hiyo Jijini Dodoma. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Ruth Zaipuna.
HAFLA YA KUWAPONGEZA WAHESHIMIWA WABUNGE JIJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza katika hafla ya kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge iliyoandaliwa na Benki ya NMB Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza katika hafla ya kuwapongeza Waheshimiwa Wabunge iliyoandaliwa na Benki ya NMB Jijini Dodoma.
Post a Comment