Featured

    Featured Posts

MAJALIWA AMJULIA HALI MWANAMUZIKI NGULI KING KIKII NYUMBANI KWAKE TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

 

Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa leo amemtembelea na kumjulia hali mwanamziki mkongwe nchini Kikumbi Mwanza Mpango maarufu kama King Kikii, Nyumbani kwake Temeke kwa Azizi Ally, Jijini Dar es Salaam, leo.

Majaliwa amempa pole Kikii anayesumbuliwa na matatizo ya Mgongo na amemtakia pona ya haraka ili aweze kuendelea na majukumu yake kama kawaida.

King Kiki ni mmoja wanamuziki wakongwe nchini Tanzania na amewahi kuvuma kwa nyimbo kadhaa miongoni mwake ikiwa “Kitambaa cheupe”. 

Video👇
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana